|
Mwanzo
Orodha ya Magari
Orodha ya Uchukuzi
Wasiliana nasi
Tovuti nyingine |
|
Barua pepe /e-mail hayashi@diyatajapan.co.jp
Habari zaidi : Wasiliana na Kenji Hayashi / Mmiliki mjapani
Simu ya mkononi : 81-80-3767-6896
Simu ya kawaida : 81-72-337-9886
Kuhusu DIYATA JAPAN
DIYATA JAPAN ni kampuni iliyoko mjini Osaka, Japan ambayo inauza nje magari ya Japan
yaliyotumika. Sisi ni mwanachama wa JUMVEA (Japan Used Motor Vehicles Exporters Association : Cahama cha Wafanyabiashara wa Magari Yaliyotumika cha Japan) tunauzia magari kama 800-1000 kwenye zaidi ya nchi 10 kutoka Japani. |
Huduma tunazozitoa kwa sasa
- Magari ya Japan yaliyotumika yanapatikana - Sisi tunashirikiana na minada ya magari yaliyotumika hapa Osaka. Kuna
minada mingi zaidi ya 20 inayofanyika eneo la Osaka kila wiki ambapo yanapatikana
karibu magari yote ya Japan yaliyotumika.
- Itikio yetu haraka - Utueleze maswali au mahitaji yako kwa e-mail : hayashi@diyatajapan.co.jp au kwa Fax: 81-723-37-1244. Tutakujibu upesi na kukuonyesha kadirio nzuri
zaidi. Tutakutumia orodha ya magari yanayopatikana kwa Email au kwa Fax.
Kitu tunachohitaji kujua ni hasa majina ya bidhaa na ya magari unayoyahitaji,
kiasi cha gharama yako, na kitu kiingine cha zaidi unachohitaji.
- Wataalamu wapo kwa ajili yako kila wakati kwenye minada - Sisi tuna wataalamu wa minada walio na ujuzi kuhusu magari yaliyotumika
na mambo ya soko ambao wanaweza kwenda nawe minadani kila siku kukusaidia
biashara yako ya magari unapokuja kununua mwenyewe. Huduma yote inaweza
kutolewa kwa Kiingereza. Usisite kuwasiliana nasi kwa simu, fax au email.
- Karibu njoo Osaka ututembelee - Hiyo ni njia rahisi tena haraka kupata magari mengi kwa muda mfupi.
Ukiwa na mpango wa kuja Japan basi utujuulishe. Utakaribishwa sana.
- Mahali pa kufikia - Tunaweza kukupangia mahali pa kufikia kwa bei nafuu.
- Uchukuzi - Ukitujuulisha tu safari yako ya kuja Japan ( kama utafika kwa ndege
gani na saa ngapi n.k. ), tunaweza kuja kukupokea mpaka kituo cha ndege
cha Osaka (Kansai International Airport). Pia tunaweza kuja kukuchukua
hotelini kila siku asubuhi tukupeleke kwenye minada.
- Karibu chakula - Tutakualika mkahawani tule chakula kitamu cha kijapani.
|
Mpigie simu Kenji Hayashi ; Mmiliki mjapani wa kampuni yetu
Simu ya mkononi : 81-80-3767-6896
Simu ya kawaida : 81-72-337-9886
|
[Orodha ya Magari] [Orodha ya Uchukuzi] [Wasiliana nasi] [Tovuti nyingine] |
DIYATA JAPAN CO.,LTD
A member of Japan Used car dealer Association Union meeting corp.
The Osaka Public Safety Commission
License No.5694
Mkurugenzi mkuu na Mmiliki
Kenji Hayashi
ANUWANI: 8-1-6 AMAMIHIGASHI, MATSUBARASHI, OSAKA, JAPAN
SIMU moja kwa moja : 81-723-37-9886 FAX moja kwa moja : 81-723-30-7939
SIMU : 81-723-36-2726 FAX : 81-723-37-1244,
SIMU ya mkononi : 81-80-3767-6896
BARUA PEPE : hayashi@diyatajapan.co.jp |